Open main menu
Papa Miltiades.

Papa Miltiades alikuwa papa kuanzia tarehe 2 Julai 311 hadi kifo chake tarehe 10 au 11 Januari 314.

Alimfuata Papa Eusebius akafuatwa na Papa Silvester I.

Kadiri ya Liber Pontificalis, Miltiades alitokea Afrika, ingawa aliweza pia kuwa mtu wa Roma.[1]

Tazama piaEdit

Maandishi yakeEdit

TanbihiEdit

  1. Richard P. McBrien, Lives of the Popes, (HarperCollins, 2000), 56.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Miltiades kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.