Virginia Brooks
Virginia Brooks ((Januari 11, 1886 – 15 Juni 1929) alikuwa mwanamageuzi wa kisiasa ambaye alifanya kazi katika eneo la Chicago na kote Indiana mwanzoni mwa miaka ya 1900.
Alizaliwa na wazazi waliohama kutoka Ohio hadi Chicago. Brooks aliandika vitabu viwili ambavyo ni Little Lost Sister (1914) na My Battles with Vice (1915).[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ Brooks, Virginia (1914). Little Lost Sister. Gazzolo and Ricksen.
- ↑ Brooks, Virginia (1915). My Battles with Vice. Macaulay Co.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Virginia Brooks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |