Visiwa vya Virgin
Visiwa vya Virgin ni funguvisiwa katika Bahari ya Karibi ambalo ni sehemu za Antili ndogo karibu na Puerto Rico.
Jina linamaanisha "Visiwa vya Bikira". Lilitolewa kwa visiwa hivyo vidogo na Kristoforo Kolumbus kwa heshima ya Mtakatifu Ursula na mabikira wezake, mashahidi wa imani ya Kikristo. Kolumbus aliita mahali pengi alipofika kwa majina ya Biblia au ya watakatifu wa Kanisa Katoliki.
Funguvisiwa hilo limegagiwa kati ya Uingereza na Marekani. Hivyo kuna:
Wakati mwingine visiwa upande wa mashariki wa Puerto Rico huitwa
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Virgin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |