Vita vya pili vya Kiyahudi

Vita vya pili vya Kiyahudi dhidi ya Warumi (115117 BK) vilifanyika hasa nje ya Palestina (Libya, Misri, Kupro na Mesopotamia), tofauti na vile vya kwanza (6673) na vya tatu (132136) vilivyofanyika hasa Yudea.

Ramani ya Dola la Roma baada ya mwaka 120.

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vita vya pili vya Kiyahudi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.