Vito wa Verdun
Vito wa Verdun (pia: Vitonus, Vanne, Vaune; alifariki 525) alikuwa askofu wa 8 wa mji huo, Galia Kaskazini, leo Ufaransa, aliyeteuliwa na mfalme Klovis I mwaka 498 [1].
Kabla ya hapo alikuwa mmonaki tangu ujanani.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |