Vitorino, Vikta na wenzao

Vitorino, Vikta na wenzao Nisefori, Klaudio, Diodoro, Serapioni na Papia (walifariki Korintho, 250 hivi) ni kati ya Wakristo wa Ugiriki walioteswa kwa namna mbalimbali na hatimaye kuuawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Decius[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 31 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.