Vivina (Oisy, leo nchini Ufaransa, 1103 hivi; karibu na Bruxelles, leo nchini Ubelgiji, 17 Desemba 1170) alikataa kuolewa akaishi kama mkaapweke hadi alipoanzisha monasteri akaiendesha kama abesi mpaka kifo chake[1][2].

Mt. Vivina.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba[3]..

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Joseph Van In, Sainte Wivine, vierge fondatrice et première supérieure de l'abbaye bénédictine de Grand-Bigard, Lierre, 1913.
  • Gabriel Colyns, M.-L. Herman, Sainte Wivine : fondatrice de l'Abbaye Bénédictine de Grand Bigard, Witteryck-Deplace, 1907, 167 pages.
  • Daufresne de La Chevalerie, La bien-aimée des anges ou Légende de sainte-Wivine (...), 1868.
  • Sainte Wivine, in : Otto Reinsberg-Duringsfeld, Calendrier belge, tome second, Bruxelles, Claassen, 1862, p. 317.
  • Sainte-Wivine, vierge, in : Claude-Pierre Goujet, Vies des saints pour tous les jours de l'année (...), Société Nationale pour la Propagation des Bons Livres, 1838, p. 427-429.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.