Volusiano wa Tours

Volusiano wa Tours (alifariki Foix, Galia, leo nchini Ufaransa, 498 hivi) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 491, lakini alipelekwa uhamishoni na Wavisigothi hadi kifo chake[1].

Askofu Volusiano alivyochongwa katika marumaru.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe 18 Januari[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1.   One or more of the preceding sentences incorporates text from a publication now in the public domainGoyau, Georges (1912). "Archdiocese of Tours". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 15. Robert Appleton Company.
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.