Wabende ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Katavi, Wilaya ya Mpanda.

Mwaka 1999 idadi ya Wabende ilikadiriwa kuwa 27,000 [1], lakini takwimu ya mwaka 2016 inakadiria kabila la Wabende kuwa na idadi ya watu 125,000.

Lugha yao ni Kibende.

Flag of Tanzania.svg Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wabende kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.