Wadi Howar (pia: Howa) ni korongo linalopatikana Chad na Sudan.

Kwa sasa maji yake yanaishia jangwani tu, lakini zamani lilikuwa linafikia hadi mto Nile likiwa tawimto lake kubwa zaidi na liliitwa Nile ya Njano.

Urefu wake ulikuwa kilomita 1,100.

Ramani ya Sudani inayoonyesha Wadi Howar

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

Kigezo:Mito ya Chad

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wadi Howar kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.