Wafiadini wa Afrika Kaskazini (16 Oktoba)

Wafiadini wa Afrika Kaskazini (16 Oktoba) ni Wakristo 220 waliofia imani ya Kikristo huko Afrika Kaskazini.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini, ingawa majina yao hayajulikani.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 16 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.