Wafiadini wa Aleksandria (17 Machi)
Wafiadini wa Aleksandria (walifariki 392 hivi) ni kundi kubwa la Wakristo wa Aleksandria (Misri) ambao walikamatwa wakauawa kwa ukatili na Wapagani wakati wa kaisari Theodosius Mkuu kwa sababu walikataa katakata kuabudu Serapide, mmojawapo kati ya miungu yao.
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |