Wafiadini wa Kapadokia waliovunjwa miguu

Wafiadini wa Kapadokia waliovunjwa miguu (walifia dini Kapadokia, katika Uturuki wa leo, 303 hivi) walikuwa Wakristo ambao waliuawa namna hiyo wakati wa dhuluma ya kaisari Maximian[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 23 Mei[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.