Wafiadini wa Masula

Wafiadini wa Masula (leo Radès, nchini Tunisia) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao.

Augustino wa Hippo alitoa hotuba moja juu yao[1].

Yanatajwa majina matatu tu: Ajabosi, Andrea na Eliani[2].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 22 Julai[3][4] au 9 Aprili[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.