Wafiadini wa imani sahihi wa Afrika (12 Oktoba)

Wafiadini wa imani sahihi wa Afrika (12 Oktoba) ni Wakristo 4,996 waliofia imani ya Kanisa Katoliki mahali mbalimbali pa Afrika Kaskazini mwaka 483 kwa agizo la mfalme wa Wavandali Huneriki aliyekuwa Mwario.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ya pamoja huadhimishwa tarehe 12 Oktoba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.