Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (9 Februari)

Wafiadini wa imani sahihi wa Aleksandria (9 Februari) walikuwa Wakristo wengi wa Misri, ambao walifia imani sahihi wakati wa ibada kutokana na dhuluma ya Waario dhidi yao[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Februari[2][3],

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.