Wafiadini wa imani sahihi wa Konstantinopoli
Wafiadini wa imani sahihi wa Konstantinopoli (walifia dini Konstantinopoli, leo nchini Uturuki, karne ya 4) walikuwa Wakristo wengi waliofukuzwa au kuteswa kikatili kwa kutetea imani sahihi dhidi ya Patriarki Macedonius, mfuasi wa Ario, aliyeungwa mkono na kaisari Konstans I [1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |