Wafiadini wa imani sahihi wa Misri (21 Mei)

Wafiadini wa imani sahihi wa Misri (21 Mei) (walifariki 357-361) walikuwa Wakatoliki wengi wa mji huo wa Misri, ambao walifia imani sahihi wakati wa dhuluma ya Waario dhidi yao na wengine chini ya Kaisari Juliani Mwasi.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei[1],

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.