Wahororo ni kabila la Kibantu linaloishi kusini magharibi mwa Uganda (wilaya ya Rukungiri) na linahusiana sana na Watutsi wa Rwanda[1][2].

Lugha yao ni Kihororo (wao wanasema Luhororo) ambayo ni lahaja ya Kinyankore-Kikiga.

Mwaka 1905 afisa wa Kiingereza alisema ni "watu watulivu, wasiotisha" na ambao wanamiliki ng'ombe.[3]

Leo wengi wao ni Wakristo.

Tanbihi

hariri
  1. Bamunoba, Y.K.; B. Adoukonou (1979). La mort dans la vie africaine: la conception de la mort dans la vie africaine. Unesco. uk. 64. ISBN 978-2-7087-0364-3.
  2. A History of African Motherhood: The Case of Uganda, 700-1900. Cambridge University Press. 2013. uk. 163.
  3. Delme-Radcliffe, C. (1905). "Surveys and Studies in Uganda". The Geographical Journal. 26: 616–31. doi:10.2307/1776070. Iliwekwa mnamo 2010-01-09.
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wahororo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.