Walter De Giusti

Walter Alfredo De Giusti (Rosario, 1962 - Mei 27, 1998)[1][2] alikuwa ni muuaji wa Argentina aliepatikana na makosa ya kufanya mauaji ya bibi wa mwanamuziki Fito Páez pamoja na wanawake wengine watatu .[3]

UjanaEdit

De Giusti alisoma katika shule ya Dante Alighieri high school mjini Rosario,ambapo alikutana na Páez,kwa wakati huu De Giusti alikuwa akipiga vyombo vya muziki na Paez alikuwa akijifunza kupiga Piano na alikuwa akiishi na baba yake pamoja na bibi yake amabe alikuwa kama mama yake, mama yake Margarita Zulema Ávalos alifariki waka De Giusti akiwa na umri wa miezi nane.

Mauaji ya kwanzaEdit

De Giusti alianza kufanya mauaji mnamo mwezi Oktoba 31 1986, wakati alipokuwa na umri wa miaka 23, akiwa pamoja na ndugu yake wa miaka 18 Carlos Manuel De Giusti, aliingia katika nyumba moja katika mtaa wa Garay Street 1081 katika mji wa ambapo aliwafanyia mashambulizi wanawake Ángela Cristofanetti de Barroso (miaka 86) pamoja na mjukuu wake wa kuasili Naomi aliekuwa na umri wa 31.

Kujiunga na PolisiEdit

Mwezi mmoja baadae, mwezi Desemba 4 1986 De Giusti alikuwa afisa wa polisi katika kituo cha polisi kinachopatikana kilometa 15 kutoka kusini mwa mji wa Rosario.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Walter De Giusti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.