Wamandayo ni wafuasi wa dini ya Mesopotamia wanaohesabika kuwa 60,000-70,000.

"Msalaba wa Kimandayo" (darfash).
Wamandayo wakisali kando ya mto Karun mjini Ahvaz, Iran.

Wanamheshimu sana Yohane Mbatizaji, lakini wanamkataa Yesu pamoja na Musa na Abrahamu.

Inaonekana kwamba asili ni bonde la mto Yordan. Kutoka huko walihama si baada ya karne ya 2 BK.

Miaka hii ya mwisho kutoka Iraq wamesambaa katika nchi mbalimbali, hasa za jirani, lakini pia za mbali kama Uswidi na Australia.

Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.