Wamaroni ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa Lebanoni, lakini siku hizi wengi zaidi wanaishi nje ya nchi hiyo asili.

Kanisa kuu la Kimaroni la Alep (Syria).

Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na historia yao, ni imani ya Kikristo katika Kanisa la Wamaroni, ambalo lina ushirika kamili na Papa wa Roma na Kanisa Katoliki lote duniani, ingawa linafuata mapokeo ya Antiokia.

Christianity Symbol.png Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wamaroni kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.