Wanu Hafidh Ameir

Mwanasiasa Mtanzania

Wanu Hafidh Ameir (amezaliwa 9 Februari 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Baraza la Wawakilishi wa Zanzibar kwa miaka 20152020. [1]

Amechukua shahada ya sheria katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) [2].

Ni mtoto wa rais wa sita wa Tanzania, mama Samia Suluhu Hassan.

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
  2. [1]