The Rescuers

(Elekezwa kutoka Waokoaji)

The Rescuers (kwa Kiswahili: Waokoaji) ni filamu ya katuni ya mwaka wa 1977. Ilitayarishwa na Walt Disney Productions na kutolewa kwa mara ya kwanza tarehe 22 Juni 1977. Hii ni filamu ya ishirini na tatu kutolewa katika mfululizo wa Walt Disney Animated Classics.

The Rescuers

Posta ya filamu
Imeongozwa na Wolfgang Reitherman
John Lounsbery
Art Stevens
Imetayarishwa na Wolfgang Reitherman
Imetungwa na Larry Clemmons
Ken Anderson
Vance Gerry
Frank Thomas
Dave Michenar
Ted Berman
Fred Lucky
Burny Mattinson
Dick Sebast
Nyota Eva Gabor
Bob Newhart
Geraldine Page
Jim Jordan
Joe Flynn
Muziki na Artie Butler
Imesambazwa na Buena Vista Distribution
Imetolewa tar. 22 Juni 1977
Ina muda wa dk. Dk. 77
Lugha Kiingereza
Bajeti ya filamu $1,200,000
Mapato yote ya filamu $71,215,869
Ikafuatiwa na The Rescuers Down Under (1990)

Filamu inahusu Huduma ya Uokoaji kwa Jamii, shirika la panya la kimataifa, lenye makao makuu yake mjini New York na kuungana na Umoja wa Mataifa, waliojitolea kusaidia waathirika na utekajinyara duniani. Panya wawili, cha-uwoga Bernard (Bob Newhart) na mwenyekufaa Miss Bianca (Eva Gabor), waliokaa pamoja ili kumwokoa Penny (Michelle Stacy), msichana alitekwa, ambaye ameshikiriwa kinyume na matakwa yake na mloo wa mali Madame Medusa (Geraldine Page).

Filamu inatokana na riwaya ya watoto ya Margery Sharp "The Rescuers", inajulikana sana, The Rescuers (1959) na Miss Bianca (1962). Ikafuatiwa filamu, The Rescuers Down Under, ilitolewa tarehe 16 Novemba 1990.

Washiriki

hariri

Marejeo

hariri

Viuongo vya Nje

hariri
 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: