Warendille (pia: Wareendile, Warendili, Warandali, Warandile au Warandille) ni kabila la watu wa jamii ya Wakushi wanaoishi nchini Kenya katika jangwa la Kaisut na karibu na mlima Marsabit (kaunti ya Marsabit).

Idadi yao ilikuwa 94,700 mwaka 2006.

Lugha yao ni Kirendille, mojawapo kati ya lugha za Kikushi, jirani na Kisomali.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Warendille kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.