Wasnulfi
Wasnulfi (pia Wasnulf, Wasnan, Wasnon, Wasnulphus, Wasnul, Vasnolfo; Uskoti au Ireland - Condé-sur-l'Escaut, leo nchini Ufaransa, 650 hivi) alikuwa padri mmisionari katika Hainault, kwenye Ubelgiji wa leo[1].
Kama Wakristo Waselti wengine wengi, kutoka visiwa vya Britania alihamia Ulaya bara ili kuinjilisha na kueneza umonaki.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Butler, Alban (1799), The Lives of the Primitive Fathers, Martyrs, and Other Principal Saints, J. Moir, iliwekwa mnamo 2021-08-17
- O'Hanlon, John (1875), Lives of the Irish saints, juz. la 10, Dublin: Duffy & Co., iliwekwa mnamo 2021-08-17
- St. Augustine's Abbey, Ramsgate (1921). The Book of saints : a dictionary of servants of God canonized by the Catholic Church. London: A. & C. Black, ltd. OCLC 671676136.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |