Salim Ahmed Salim (amezaliwa 23 Januari 1942) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 24 Aprili 1984 hadi tarehe 5 Novemba 1985 alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Tanzania. Alifuatwa na Joseph Sinde Warioba.

Salim
Salim Ahmed Salim

Heshima na Tuzo hariri

Nishani hariri

Nishani Nchi Mwaka
  Nishani ya Nyota ya Afrika   Liberia 1980
  Nishani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania   Tanzania 1985
  Nishani ya Kitaifa cha Vilima Elfu Moja   Rwanda 1993
  Nishani ya Kipendo (Msalaba tukufu)   Jamhuri ya Kongo 1994
  Nishani ya Sifa (Afisa tukufu)   Jamhuri ya Afrika ya Kati 1994
Medali ya Afrika   Libya 1999
  Nishani ya Kitaifa cha Simba (Afisa tukufu)   Senegal 2000
  Nishani ya Mito Miwili cha Naili   Sudan 2001
  Nishani ya El-Athir   Algeria 2001
  Nishani ya Mono   Togo 2001
  Nishani ya Kitaifa cha Mali (Kamanda)   Mali 2001
  Nishani ya Masahaba wa O. R. Tambo (Dhahabu)   Afrika Kusini 2004
  Nishani ya Mwenge (Daraja la pili)   Tanzania 2011

Shahada za Heshima hariri

Chuo Kikuu Nchi Shahada ya Uzamivu Mwaka Ref
Chuo Kikuu cha Philippines Los Baños   Philippines Daktari wa Sheria 1980
Chuo Kikuu cha Maiduguri   Nigeria Doctor of Humanities 1983
Chuo Kikuu cha Mauritius   Mauritius Daktari wa Sheria ya Kiraia 1991
Chuo Kikuu cha Khartoum   Sudan Daktari wa Sanaa katika Masuala ya Kimataifa 1995
Chuo Kikuu cha Bologna   Italy Daktari wa Falsafa katika Uhusiano wa Kimataifa 1996 [1]
Chuo Kikuu cha Cape Town   Afrika Kusini Daktari wa Sheria 1998 [2]
Chuo Kikuu cha Addis Ababa   Ethiopia Daktari wa Sheria 2003 [3]

Marejeo hariri

  1. "Lauree Honoris Causa : Salim Salim Ahmed". University of Bologna. 1996. Iliwekwa mnamo 27 September 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "UCT Honours Roll". University of Cape Town. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-04. Iliwekwa mnamo 27 September 2013.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Over 4,000 Graduate From Addis Ababa University". Addis Tribune via allafrica.com. 1 August 2003. Iliwekwa mnamo 27 September 2013.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)

Viungo vya nje hariri


Ofisi za Kisiasa
Alitanguliwa na
Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tanzania
1984-1985
Akafuatiwa na
Joseph Sinde Warioba
Alitanguliwa na
Ali Hassan Mwinyi
Makamu wa Rais wa Tanzania
1985-1990
Akafuatiwa na
John Samuel Malecela
Nafasi za Kidiplomasia
Alitanguliwa na
Indalecio Liévano
Rais wa Bunge Kuu la Umoja wa Mataifa
1979-1980
Akafuatiwa na
Rüdiger von Wechmar


  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salim Ahmed Salim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.