John Samwel Malecela
(Elekezwa kutoka John Malecela)
John Samwel Malecela (amezaliwa tar. 20 Aprili 1934). Alikua mbunge wa jimbo la Mtera katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM. Pia alikua Naibu Mwenyekiti wa CCM kuanzia mwaka (2005-2009), Waziri Mkuu (1990-1994), Kamishina Mkuu wa Tanzania huko Uingereza (1989-1999), Waziri wa Utamaduni Chakula na Usalama (1975-1980), na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (1972-1975).
Tazama pia
haririViungo vya nnje
hariri- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Ofisi za Kisiasa | ||
---|---|---|
Alitanguliwa na Joseph Sinde Warioba |
Waziri Mkuu wa Tanzania 1990-1994 |
Akafuatiwa na Cleopa David Msuya |
Alitanguliwa na Salim Ahmed Salim |
Makamu wa Rais wa Tanzania 1990-1994 |
Akafuatiwa na Cleopa David Msuya |
Marejeo
hariri- ↑ ["Mengi kuhusu John Samwel Malecela". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-06-18. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu John Samwel Malecela]
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu John Samwel Malecela kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |