What About Now
"What About Now" ni single ya saba kutoka kwa bendi ya Marekani inayoitwa Daughtry. Mashairi ya wimbo huu yaliandikwa na Ben Moody, akishirikiana na David Hodges wate wakiwa wanachama wa Evanescence pamoja na Josh Hartzle ambaye amemuoa Amy Lee mwimbaji kiongozi wa Evanescence.Ni moja kati ya nyimbo chache ambazo hazijaandikwa kwa msaada wa Chris Daughtry. Wimbo huu ulitangazwa kama single yao iliyofuata katika wavuti yao.[1] Ilitolewa rasmi nchini Marekani tarehe 1 Julai 2008.[2]
“What About Now” | ||
---|---|---|
Single ya Daughtry | ||
Aina | Alternative rock, pop rock | |
Urefu | 4:10 | |
Studio | RCA/19 Entertainment | |
Mtunzi | Ben Moody, David Hodges, Josh Hartzler | |
Mtayarishaji | Howard Benson |
Video ya Muziki
haririVideo ya muziki huu iliongozwa na Kevin Kerslake, na kutoka tarehe 11 Julai kupiti katika studio za FNMTV Studio.[3] Video hii inaweza kuangaliwa katika wavuti ya bendi hii. Video inahusu masuala ya jamii, ikionesha maeneo kadhaa yaliyoathiriwa na umaskini, majanga ya asili na vita, pamoja na mambo mengine. Maoni mbalimbali yanatolewa kuhusu video hii na video hii inauliza maswali kwa watazamaji wake.Baadhi ya watu wanaotoa misada katika majanga haya wanaoneshwa na aina ya msaada wanaotoa na majina yao yakionakana, Video inaonesha taa ya balbu ikiwa haijawashwa ikiashiria kuwa, bado hatujachelewa kufanya mabadiliko. Video inaishia kwa kuuliza swali kwa watazamaji "Vipi kuhusu sasa?" maneno haya yakitokea karibu na taa ya balbu inayowaka. Pia kuna baadhi ya picha zikionesha wanamuziki wa bendi hii wakiwa katika maonesho ya moja kwa moja.
Matumizi ya Nyimbo
haririWimbo huu ulitumika tarehe 21Februari 2008, katika sehemu ya 7 ya American Idol katika jumla ya diski 2. Pia wimbo huu uliimbwa na bendi hii nchini Uganda katika safari yao ya Afrika katika tamasha la tarehe 9 Aprili 2008, lililoitwa Idol Gives Back. Kundi hili liliimba wimbo huu katika kujiji wakiwa wamezungukwa na watoto wanaoishi katika mazingira magumu wakiwa wanaimba nao, na pia katika video ya wimbo huu, kuna picha za tamasha hili Wimbo huu pia ulitumika katika sehemu tofauti tofauti katika tamasha la X Factor la nchini Uingereza mwaka 2009. Tarehe 11 Desemba 009, wimbo huu uliimbwa katika tamasha la Nobeli lwa heshima ya Raisi wa Marekani Barack Obama
Kutoka
haririEneo | Tarehe | Muundo |
---|---|---|
United States | 1 Julai 2008 | CD, digital download |
United Kingdom | Oktoba 2009 |
Orodha ya matamasha
haririTamasha la "Idol Gives Back" na wimbo wa "What About Now" ziliwekwa katika iTunes na kushika nafasi ya 8# katika chati ya nyimbo bora ya Billboard na kuufanya wimbo huu kuongoza katika nyimbo za kundi hili kwa kuwahi kushika nafasi ya juu zaidi hadil hii leo napia wimbo huu ulishika nafasi ya nne katika nyimbo bora 100. Pia ulifanikiwa kuingia kufika katika nafasi ya #7 katika chati ya nchini Canada ya Canadian Hot 100, na kuufanya wimbo huu kuwa wimbo wa nne kuwahi katika chati hii. Wimbo huu ulishika nafasi hizi baada ya zaidi ya wiki mbali tangu kutoka kwake. Baada ya kutoka kwa wimbo wa "What About Now" wimbo huu umekuwa wimbo wa tano kuingia katika chati ya Adult Top 40, na kushia katika nafasi ya #3 Wimbo huu unaonekana kuendele kuwa bora hasa ukulinganisha na nyimbo nyingine zinazoingia katika chati hii.[4]. Katika chati ya Hot Adult Contemporary Tracks wimbo huu ulishika nafasi ya #3. Ni wimbo wa tatu kufika katika chati hii, na hiikulifanya kundi hili kuwa kundi pekee la muziki wa rock kuwahi kufikisha nyimbo tatu mfululizo katika chati hii. Wimbo huu pia uliingia katika nyimbo ishirini bora katika nyimbo zanazopigwa kwenye redio, kwa kushika nafasi ya #19 mwezi wa 10, 2008. Wimbo huu uliingia katika chati ya muziki ya Uingerwza mwezi Mei mwaka 2009 baada ya kuchezwa katika tamasha la Britain's Got Talent, na mwezi Agasti 2009 wimbo huu uliingia tena baada ya kuchezwa katika tamasha la Uingereza la Factor
Tarehe 4 Oktoba 2009, wimbo huu uliingia tena katika chati ya single ya Uingereza ya nyimbo arobaini bora na kushika nafasi ya #39.
Chati (2008) | Ilipata nafasi |
---|---|
Canadian Hot 100 | 17 |
U.S. Billboard Hot 100 | 18 |
U.S. Billboard Pop 100 | 21 |
U.S. Billboard Hot Adult Top 40 Tracks | 3 |
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks | 3 |
Chart (2009) | Peak position |
Irish Singles Chart | 30 |
UK Singles Chart | 11 |
Toleo la Westlife
hariri“What About Now” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Westlife | |||||
Muundo | Pop rock | ||||
Mtayarishaji | Steve Robson | ||||
Mwenendo wa single za Westlife | |||||
|
}}
"What About Now" pia ulirekodiwa na kundi la Westlife katika albamu yao ya, Where We Are. na ulitoka rasmi tarehe 25 Oktoba 2009.[5] Mtayarishaji wa wimbo huu akiwa Steve Robson. Tarehe 25 Oktoba kundi hili liliimba wimbo huu katika tamasha la X-Factor, na pia waliimba wimbo huu katika televisheni ya GMTV, na kufanya mahojiano baada ya kuimba. .[6] On 27 Novemba Westlife performed "What About Now" on The Late Late Toy Show.[7]
orodha ya Matamasha
haririBaada ya kutoka, toleo la Westlife lilishika nafasi ya #2 katika chati ya Single ya Ireland na kuchukua nafasi ya Alexandra Burkre na kuja kutolewa na wimbo wa Cherly Cole na wimbo wa Fight For This Love wimbo uliokaa kwa wiki mbaili katika nafasi ya kwanza. .[8]
Chati (2009) | Ulipata nafasi |
---|---|
Irish Singles Chart | 2[9] |
UK Singles Chart | 2[10] |
European Singles Chart | 7[11] |
Slovakian Airplay Chart | 81 |
Swedish Singles Chart | 13 |
Video ya muziki
haririGazeti la Uingereza la Daily Mirror lilitoa makala kuhusu vido ya wimbo huu. ."[12]. Tarehe 30 Oktoba 2009, video ya sekunde 20 ilioneshwa katika kipindi cha The One Show.[13] Video kamili ilitolewa katika wavuti ya bendi hii na sehemu za muziki za Uingereza tarehe 6 Novemba 2009 Iliongozwa na Philip Andelman na picha za video zilipigwa katika eneo la Vatnajökull katika eneo la Iceland.
Orodha ya Nyimbo
hariri- "What About Now" - 4:11
- "You Raise Me Up" (Live at Croke Park) - 5:00
Historia ya Kutoka
haririEneo | Tarehe | Muundo | Studio |
---|---|---|---|
Ireland | 23 Oktoba 2009 | Digital download, CD single | RCA Records |
Ufalme wa Muungano | 25 Oktoba 2009 | Digital download | Syco Music, RCA Records |
26 Oktoba 2009 | CD single | ||
Ujerumani[14] | 27 Oktoba 2009 | Digital download | Sony Music Entertainment |
Sweden | 28 Oktoba 2009 | ||
New Zealand | 18 Novemba 2009 | ||
Hong Kong | 26 Novemba 2009 |
Marejeo
hariri- ↑ "Daughtry DAUGHTRY ON AMERICAN IDOL THIS WEEK; SUPPORT THE ONE CAMPAIGN | The Official Daughtry Site". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-06-13. Iliwekwa mnamo 2010-01-18.
- ↑ "FMQB: Radio Industry News, Music Industry Updates, Arbitron Ratings, Music News and more!". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-18.
- ↑ New Music Videos, Reality TV Shows, Celebrity News, Top Stories | MTV
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-18. Iliwekwa mnamo 2010-01-18.
- ↑ "Preview of the track What About Now". Amazon.co.uk. Iliwekwa mnamo 2009-10-16.
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-10-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-18.
- ↑ "Tubridy thrilled with Toy Show figures". RTÉ Entertainment. 30 Novemba 2009. Iliwekwa mnamo 2 Desemba 2009.
- ↑ http://www.bbc.co.uk/radio2/music/playlist/index.shtml
- ↑ Andrew MacDonald (2009-10-30). "Cheryl Cole Spend's Second Week at Irish Number 1 Spot". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-07-14. Iliwekwa mnamo 2009-10-31.
- ↑ http://www.bbc.co.uk/radio1/chart/singles/
- ↑ http://www.worldcharts.co.uk/world%20charts/european.htm
- ↑ http://www.mirror.co.uk/celebs/news/2009/10/26/ice-work-boys-115875-21773986/
- ↑ http://www.youtube.com/watch?v=bHK6Qvi5B9s
- ↑ http://www.amazon.de/What-About-Now-Westlife/dp/B002RWJIGQ/ref=sr_1_1?ie=UTF8&s=music&qid=1256728897&sr=8-1