Wilaya ya Kitui
Wilaya ya Kitui ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Kitui | |
Mahali pa Wilaya ya Kitui katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kitui |
Eneo | |
- Jumla | 24,385.1 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,012,709 |
Makao makuu yalikuwa mjini Kitui.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kitui.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kitui kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |