Wilaya ya Mtama

(Elekezwa kutoka Wilaya ya Lindi Vijijini)

Wilaya ya Mtama ni wilaya moja ya Mkoa wa Lindi. Hadi maka 2019 iliitwa Lindi Vijijini[1]. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 215,764 [2]. Misimbo ya posta huanza kwa namba 652.

Mahali pa Lindi Vijijini (kijani) katika mkoa wa Lindi.

Mwaka 2019 rais Magufuli aliagiza makao makuu yajengwe Mtama na wilaya iitwe pia Mtama[3].

Marejeo

hariri
  1. President promises to improve southern regions’ infrastructures, Guardian 17.10.2019
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2003-12-17. Iliwekwa mnamo 2003-12-17.
  3. Magufuli amaliza mgogoro wa Lindi Vijijini Archived 22 Oktoba 2020 at the Wayback Machine., tovuti ya Habarileo tar. 16.10.2019, iliangaliwa Agosti 2020
  Kata za Wilaya ya Mtama - Tanzania  

Chiponda | Kiwalala | Longa | Majengo | Mandwanga | Mnara | Mnolela | Mtama | Mtua | Mtumbya | Nachunyu | Nahukahuka | Namangale | Namupa | Navanga | Nyangamara | Nyangao | Nyengedi | Pangatena | Sudi


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Lindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mtama kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.