Wilaya ya M'Bahiakro
Wilaya ya Cote d'Ivoire
Wilaya ya M'Bahiakro (kwa Kifaransa: département de M'Bahiakro) ni moja kati ya Wilaya tatu za Mkoa wa Iffou ulioko katikati mwa Cote d'Ivoire.
Wilaya ya M'Bahiakro | |
Eneo la Wilaya ya M'Bahiakro. | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Lacs |
Mkoa | Iffou |
Serikali[1] | |
- Prefect | Diby Konan |
Idadi ya wakazi (2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 79,768 |
GMT | (UTC+0) |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa 79,768.
Makao makuu ya eneo hilo ni M'Bahiakro.
Wilaya ya M'Bahiakro sasa imegawanywa katika tarafa zifuatazo:
Marejeo
hariri- ↑ "Préfets de Région et de Préfets de Département (Conseil des ministres du mercredi 26 septembre 2012)", abidjan.net, 2 October 2012.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya M'Bahiakro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |