Wilaya ya Malindi
Wilaya ya Malindi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Malindi | |
Mahali pa Wilaya ya Malindi katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mkoa | Pwani |
Mji mkuu | Malindi |
Eneo | |
- Jumla | 7,751 km² |
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 544,303 |
Makao makuu yalikuwa mjini Malindi.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kilifi.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Malindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |