Wilaya ya Marsabit
Wilaya ya Marsabit ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Wilaya ya Marsabit | |
Mahali pa Wilaya ya Marsabit katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Marsabit |
Eneo | |
- Jumla | 66,923.1 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 291,166 |
Makao makuu yalikuwa mjini Marsabit.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Marsabit.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Marsabit kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |