Wilaya ya Turkana

Wilaya ya Turkana ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Wilaya ya Turkana
Mahali pa Wilaya ya Turkana katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Turkana katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Lodwar
Eneo
 - Wilaya 71,597.8 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 855,399

Makao makuu yalikuwa mjini Lodwar.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Turkana.

MarejeoEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Turkana kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.