Wiliamu Saggiano, O. de M. alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki ambaye alikwenda Algeria kukomboa watumwa akachomwa moto kwa ajili ya imani yake.

Mwenye asili ya Ancona (Marche, Italia), alikulia Ufaransa Kusini. Alipofiwa ndugu zake, alijiunga na shirika.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Desemba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.