Wiliamu na Pelegrino

Wiliamu na Pelegrino (Antiokia, leo nchini Uturuki, karne ya 12 - Foggia, Italia, 26 Aprili 1146) walikuwa baba na mtoto, ambao walihiji patakatifu mbalimbali, halafu wakaishi kama wakaapweke hadi walipofariki dunia wamekumbatiana [1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 26 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Pasquale Manerba, Memorie sulla origine della città di Fogia e sua maggior chiesa colla breve notizia della invenzione, ed apparizione della antichissima immagine di Maria Santissima detta Icona Vetere ed un saggio degli atti de' Santi Guglielmo e Pellegrino tutelari della stessa, Napoli 1798 (Rist. anast.: Foggia 1990).
  • Gaetano De Vito, Santi Guglielmo e Pellegrino: protettori di Foggia, Foggia 1915.
  • Michele di Gioia, Maria SS. dei Sette Veli o dell'Iconavetere e i santi Guglielmo e Pellegrino patroni principali della città di Foggia: tradizione, storia, culto, Foggia 1954.
  • Michele Di Gioia, I santi Guglielmo e Pellegrino, patroni principali di Foggia, Foggia 1970.
  • Michele Di Gioia, La Madonna dei Sette veli e i santi Guglielmo e Pellegrino, Foggia 1987.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.