Winoko (kwa Kifaransa: Winoc, Winok, Pinnock; awali: Wynnocus, Winnocus, Uinnoc, Uinoc; Bretagne, leo nchini Ufaransa, 640 hivi - Wormhoudt, leo nchini Ufaransa, 6 Novemba 716) alikuwa mmonaki mwanafunzi wa Bertino wa Sithieu huko Therouanne kuanzia mwaka 690 hivi. Baadaye aliruhusiwa kuanzisha monasteri aliyoiongoza kitakatifu na alimofariki.[1].

Alivyochorwa.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Novemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.