Wita wa Buraburg
Mtakatifu Saxon Magharibi
Wita wa Buraburg (pia: Hwita, Witta, Wizo, Vito, Wittanus, Wintanus, Albinus, Albuin; Wessex, Uingereza, 700 hivi - Hersfeld, Ujerumani, 747 hivi) alikuwa mmonaki Mbenedikto aliyehamia Ulaya bara kama mmisionari kwa kumfuata Bonifas mfiadini.
Hatimaye akawa askofu wa kwanza na wa mwisho wa Buraburg tangu mwaka 741 hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Karl Heldmann: Witta. In: Allgemeine Deutsche Biographie (ADB). Band 43, Duncker & Humblot, Leipzig 1898, S. 585 f.
- Burkard Krug: WITTA. In: Biographisch-Bibliographisches Kirchenlexikon (BBKL). Band 13, Bautz, Herzberg 1998, ISBN 3-88309-072-7, Sp. 1427.
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |