Wunmi
Wunmi, jina halisi Ibiwunmi Omotayo Olufunke Felicity Olaiya, ni mwimbaji, mchezaji dansi na mbunifu wa mitindo. [1] [2] Alizaliwa nchini Uingereza, kwa wazazi raia wa Nigeria, lakini alitumia muda mwingi wa utoto wake huko Lagos, Nigeria. [2]
Alifanya kazi na bendi ya Soul II Soul, alionekana kama dansi kwenye video ya "Back To Life" (1989). [2] Wimbo wake wa kwanza, wa "What a See ( A Guy Called Gerald Mix)" ulitolewa mwaka 1998, na albamu yake ya kwanza ya ALA (Africans Living Abroad) ilitoka akiwa kwenye rekodi lebo ya Documented mwaka 2006. [2]
Marejeo
hariri- ↑ Dancing queen Ilihifadhiwa 22 Mei 2011 kwenye Wayback Machine. Eye Weekly (Toronto) 1 February 2001; Retrieved 15 September 2007
- ↑ 2.0 2.1 2.2 2.3 Africa on your street bbc.co.uk; Retrieved 15 September 2007
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wunmi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |