Yakobo Yan Guodong

Yakobo Yan Guodong (Jianhe, 1854 hivi - Taiyuan, 9 Julai 1900) alikuwa mlei wa China aliyefia Ukristo wakati wa Uasi wa Waboksa.

Wafiadini Wakatoliki wa China.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mtakatifu pamoja na wengine 119 tarehe 1 Oktoba 2000.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 9 Julai.

Tazama pia hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.