Yakobo mkaapweke
Yakobo mkaapweke (alizaliwa Haifa, Israeli) aliishi katika mlima Karmeli kwenye karne ya 4[1].
Kwa muda mrefu alijifungia kaburini.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake inaadhimishwa kila tarehe 28 Januari[2].
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |