Yohane II wa Yerusalemu

Yohane II wa Yerusalemu (356 hivi – 10 Januari 417) alikuwa Patriarki wa Yerusalemu kuanzia mwaka 387 hadi kifo chake. Alishika nafasi ya Sirili aliyefariki 386 (au 387).

Uzushi ulipoenea, alitetea imani sahihi na kupigania amani ndani ya Kanisa[1].

Wataalamu wanazidi kukubali kwamba Katekesi za Mafumbo zilizosemekana kuwa za Sirili, kumbe ni za kwake.[2]. Vilevile maandishi yake mengine yametunzwa kwa jina la mtu tofauti kwa kuhofia yatachomwa kutokana na wasiwasi uliojitokeza juu ya usahihi wa imani yake[3][4].

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Machi[5][6][7] au 10 Januari [8].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. Martyrologium Romanum
  2. Paul F. Bradshaw, The Search for the Origins of Christian Worship 2002 ISBN|0-19-521732-2, pag 113
  3. M. van Esbroeck, Dans une Homily géorgienne sur les Archanges, in Analecta Bollandiana 89 (1971) 155-176
  4. M. van Esbrœck, Une homélie sur l’Église attribuée à Jean de Jérusalem, in Le Muséon, 86 (1973), p. 283-304
  5. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-12-14. Iliwekwa mnamo 2020-04-08.
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-26. Iliwekwa mnamo 2020-04-08.
  7. Ὁ Ἅγιος Ἰωάννης Πατριάρχης Ἱεροσολύμων
  8. Martyrologium Romanum, 2004, p. 92

Marejeo

hariri
  • M. van Esbrœck, Jean II de Jérusalem, in Analecta Bollandiana, Tome 102, Fasc.1-2 (1984), p. 99-134 (includes also the text of John's homily on the Dedication of the Church of Holy Zion, in French)
  • A. Piédagnel - P. Paris, Cyrille de Jérusalem, Catéchèses mystagogiques, SC 126 (1966) et 126bis (1980)
  • P. Nautin, La lettre de Théophile d’Alexandrie à l’Église de Jérusalem et la réponse de Jean de Jérusalem (juin-juillet 396), Revue d'histoire ecclésiastique, 96 (1974), p. 365-394
  • F.J. Leroy, Pseudo-chrysostomica: Jean de Jérusalem. Vers une résurrection littéraire ?, dans Studia patristica, 10 (TU 107), Berlin, 1970, p. 131-136
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.