Yohane IV wa Aleksandria
Yohane IV wa Aleksandria (alifariki 24 Januari 799) kuanzia mwaka 777 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 48 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |