Yohane I wa Aleksandria

Yohane I wa Aleksandria (kwa Waorthodoksi: Yohane II; alifariki 29 Aprili 505) kuanzia mwaka 496 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa Aleksandria (Misri) na Papa wa 29 wa Kanisa la Wakopti ambalo linamheshimu kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.