Yohane Mnyamavu (Nikopoli, Armenia ya Kale, leo nchini Uturuki, 454 hivi - 558 hivi[1]) bado kijana alianzisha monasteri akafanywa askofu lakini baada ya miaka tisa aling'atuka na kuhamia nchini Palestina alipoishi miaka mingi katika hali ya kimya[2].

Mchoro mdogo wa Mt. Yohane.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 7 Desemba [3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. The Lives of Saints. London: Thomas Meighan. 1729. ku. 303–307.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/80740
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.