Yohane Stone (aliuawa Canterbury, Uingereza, 1539) alikuwa padri wa shirika la Waaugustino aliyeshikilia imani sahihi na kupinga uamuzi wa mfalme Henri VIII wa kutenga wananchi wake na Kanisa Katoliki hadi akanyongwa na kuchanwachanwa chini ya sheria[1].

Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970 alimtangaza kuwa mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 39.

Sikukuu yake ni tarehe 23 Desemba[2] lakini pia 12 Mei na 25 Oktoba.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Behold I close my apostolate in my blood, in my death I shall find life, for I die for a holy cause, the defence of the Church of God, infallible and immaculate", Stone said as the executioners prepared to do their work.
  2. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.