Yohane Wall
John Wall (1620 - 22 Agosti, 1679), alikuwa padri wa shirika la Ndugu Wadogo Warekoleti aliyefia dini ya Ukristo huko Uingereza, alipouawa baada ya kukamatwa wakati wa kuadhimisha Misa kwa siri.
Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini. Kwanza alitangazwa mwenye heri na Papa Pius XI mwaka 1929, halafu mtakatifu na Papa Paulo VI tarehe 25 Oktoba 1970.
Tazama piaEdit
- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yohane Wall kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |