Open main menu

Yohane Zhang Jingguang (Fujingcun, 1878 hivi - Taiyuan, 9 Julai 1900) alikuwa mseminari Mfransisko wa Utawa wa Tatu aliyefia dini nchini mwake China.

Anaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama mtakatifu mfiadini pamoja na wenzake 119.

Sikukuu yao huadhimishwa kila mwaka tarehe 9 Julai.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yohane Zhang Jingguang kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.