Yohane wa Ribera
Yohane wa Ribera (Sevilia, Hispania, 20 Machi 1532 – Valencia, 6 Januari 1611) alikuwa mtu maarufu kwa kushika vyeo mbalimbali katika serikali (Makamu wa mfalme) na Kanisa (askofu).
Mwenye ibada kubwa kwa Ekaristi takatifu na mtetezi wa ukweli wa imani Katoliki, alijenga waumini kwa mafundisho bora.
Alitangazwa na Papa Pius VI kuwa mwenye heri tarehe 18 Septemba 1796, halafu Papa Yohane XXIII alimtangaza mtakatifu tarehe 12 Juni 1960.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Patron Saint's index
- Lynch, John (1969). Spain under the Habsburgs. Juz. la (vol. 2). Oxford, England: Alden Mowbray Ltd. ku. 42–51.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |